• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Misri yawaua wapiganaji 59 katika operesheni dhidi ya ugaidi kote nchini

    (GMT+08:00) 2019-01-23 10:35:44

    Jeshi la Misri limesema wapiganaji 59, ofisa mmoja wa jeshi na askari sita wameuawa katika operesheni za kupambana na ugaidi kote nchini humo. Kati ya wapiganaji hao waliouawa, 15 ni magaidi hatari zaidi katika eneo la Sinai Kaskazini na Kati katika maeneo ya jangwa. Wahalifu na watu 142 wanaosakwa pia wamekamatwa katika operesheni hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako