• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makamu wa rais wa China Bw. Wang Qishan aoa wito wa kujenga mfumo wa kimataifa kwa ajili ya maisha bora ya watu

    (GMT+08:00) 2019-01-24 08:43:30

    Makamu wa Rais wa China Bw. Wang Qishan akihutubia Mkutano wa mwaka 2019 wa Baraza la Uchumi Duniani WEF unaofanyika mjini Davos, Uswisi, ametoa wito wa kufanya kazi kwa pamoja kwa ajili ya kujenga mfumo wa kimataifa katika mapinduzi ya kiviwanda 4.0 unaolenga kujenga mustakabali mzuri zaidi kwa binadamu wote.

    Bw. Wang Qishan amesema ni muhimu kuheshimu mamlaka ya kitaifa na kuacha kutafuta ubabe wa teknolojia na kuingilia kati mambo ya ndani ya nchi nyingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako