• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makamu wa rais wa China atoa wito wa kupata maendeleo zaidi ili kutatua hali ya kutokuwepo kwa uwiano wa kimataifa

    (GMT+08:00) 2019-01-24 08:44:02

    Makamu wa rais wa China Bw. Wang Qishan ametoa wito wa kupata maendeleo zaidi ili kutatua hali ya kutokuwepo kwa uwiano wa kimataifa katika mchakato wa mafungamano ya kiuchumi duniani.

    Bw. Wang amezihimiza nchi mbalimbali kusukuma mbele mageuzi ya kimuundo, kutafuta uwiano kati ya usawa na ufanisi, kutekeleza sera mwafaka ili kuzuia kuongezeka kwa hali ya kutokuwepo kwa usawa wa mapato, na kuepukana na athari katika baadhi ya sehemu na viwanda kutokana na teknolojia mpya na ushindani wa soko, ili kuwafanya watu wanufaike na maendeleo endelevu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako