• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashirika ya kimataifa ya nchi za magharibi ni msukumo muhimu wa mafungamano ya kiuchumi duniani

    (GMT+08:00) 2019-01-24 08:44:27
    Mashirika ya kimataifa ya nchi za magharibi ni msukumo muhimu wa mafungamano ya kiuchumi duniani

    Makamu wa Rais wa China Bw. Wang Qishan amesema mashirika ya kimataifa ya nchi za magharibi na taasisi za fedha ni msukumo muhimu wa mafungamano ya kiuchumi duniani.

    Bw. Wang amesema wakati mashirika hayo yanapojitafutia faida, wanatumia raslimali katika nchi na maeneo yenye gharama za chini za uzalishaji na kuweka mazingira mazuri ya biashara wakati yanajenga minyororo ya viwanda duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako