• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Hakuna matumaini ya kumpata mchezaji wa Cardiff City, Mashabiki wajitokeza na maua kumuombea staa huyo

  (GMT+08:00) 2019-01-24 09:41:51

  Hakuna matumaini ya kumpata mchezaji wa Cardiff City, Emiliano Sala, ni maneno yake John Fitzgerald afisa mkuu wa uokoaji katika visiwa vya Channel. Mshambuliaji huyo raia wa Argentina mwenye umri wa miaka 28 na rubani walikuwa kwenye ndege iliyopotea visiwa vya Channel jumatatu usiku wiki hii.

  Sala aliripotiwa kutuma ujumbe wa sauti kwa mtandao wa kijamii wa WhatsApp kwa familia yake akisema "Naogopa sana".

  Sala alisajiliwa Jumamosi iliyopita na Cardiff City kwa rekodi ya usajili wa klabu hiyo wa pound milioni 15 lakini kufuatia taarifa za kupotea kwake mashabiki wa Nantes wamejitokeza na maua kuombeleza huku wakimuombea apatikane akiwa hai.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako