• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: Thompson aiongoza Warriors kuilaza Lakers NBA

    (GMT+08:00) 2019-01-24 09:42:13

    Ustadi wa Klay Thompson wa kufunga kutoka mbali kumeiwezesha Gloden State Warriors kupata ushindi wa pointi 120-111 dhidi ya Los Angeles Lakers katika mchezo wa ligi ya mpira wa kikapu ya Marekani (NBA).

    Thomposn anaungana na mchezaji mwenzake wa zamani wa Denver Nuggets, Ty Lawson kuwa wachezaji wawili pekee waliofanya majaribio kumi ya kufunga kutokea mbali.

    Lakers haikuwa na nyota wake LeBron James pamoja, Rajon Rondo na Lonzo Ball. Durant aliongeza pointi nyingine 20 kwa upande wa Warriors na Stephen Curry alifunga pointi 11 na kutoa assist 12, lakini alikuwa Thompson ndiye aliyeng'ara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako