• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • OLIMPIKI NA PARAOLIMPIKI: Mwakyembe na Goto watoa neno

    (GMT+08:00) 2019-01-24 09:42:40

    Waziri wa habari, Sanaa, utamaduni na michezo wa Tanzania Dkt. Harrison Mwakyembe amesema Tanzania na nchi zingine za Afrika Mashariki zitajiulaumu endapo hazitajiandaa vyema kwa mashindano ya Olimpiki na Paraolimpiki yatakayofanyika mwakani nchini Japan.

    Amesema wenyeji wa mashindano hayo Japan wamejitahidi kuandaa mazingira mazuri kwa ajili ya washiriki wa mashindano hayo, sasa ni muda wa Tanzania na Afrika mashariki kufanya vizuri na kunyakua medali.

    Naye balozi wa Japan nchini Tanzania Shinichi Goto ameeleza kuwa Serikali ya Japan imejiandaa vizuri kwa ajili ya washiriki watakaokuwa katika kipindi chote cha mashindano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako