• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Venezuela yakatisha uhusiano wa kibalozi na Marekani

    (GMT+08:00) 2019-01-24 09:43:59

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema nchi yake imeamua kukatisha kabisa uhusiano wa kibalozi na kisiasa na Marekani kutokana na nchi hiyo kupanga mara kwa mara mapinduzi ya kisiasa ndani ya Venezuela. Rais Maduro amesaini waraka husika na kuwataka wanadiplomasia wa Marekani nchini Venezuela waondoke ndani ya saa 72. Amesema kitendo cha rais Donald Trump wa Marekani kumwunga mkono mwanasiasa wa chama cha upinzani ambaye ni spika wa Bunge Bw. Juan Guaido kuwa "rais wa muda" ni hatua isiyo na busara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako