• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 20 wafariki katika ajali ya barabarani Cameroon

    (GMT+08:00) 2019-01-24 09:45:53

    Watu 20 wakiwemo watoto wamefariki katika ajali ya barabarani iliyotokea jana mchana katika barabara kuu ya Ngaoundere hadi Touboro kaskazini mwa Cameroon. Mashuhuda wamesema ajali hiyo ilitokea wakati lori moja lilipogongana uso kwa uso na basi. Kwa mujibu wa abiria aliyenusurika, watu kadhaa wamejeruhiwa na wanatibiwa hospitali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako