• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UM yaunga mkono nafasi ya wanawake katika kujenga amani

    (GMT+08:00) 2019-01-24 09:46:49

    Naibu mwakililishi maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya Bibi Maria do Valle Ribeiro, amesisitiza kuunga mkono nafasi ya wanawake wa Libya katika juhudi za kujenga amani na maendeleo. Bibi Maria amesema hayo alipokutana na Bibi Laila Al-Lafi, mkuu wa Kitengo cha Kuwawezesha na Kuwaunga Mkono Wanawake cha serikali ya Libya, ambacho kimeanzishwa kumaliza mpasuko wa kisiasa nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako