• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya kupiga marufuku uagizaji wa magari yaliyotumika

  (GMT+08:00) 2019-01-24 20:05:26

  Katika juhudi za kupiga jeki sekta ya ya ndani ya magari,Kenya inapanga kuzuia uagizaji wa magari yaliyotumika.

  Kulingana na rasimu ya pendekezo,Serikali ya Kenya inalenga kufikia mwaka 2021,kudhibiti uagizaji wa magari hadi yale yaliyo na miaka mitatu tangu kuundwa au mapya kabisa.

  Magari yaliyotumika,au ya mitumba,kama yanavyojulikana ,yanachangia asilimia 85 ya manunuzi ya magari nchini Kenya,ambapo magari 86,626 yalinunuliwa mwaka 2017 .

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako