• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiwango cha ukosefu wa ajira cha China chafikia chini zaidi katika mwaka 2018

    (GMT+08:00) 2019-01-24 20:49:30

    Msemaji wa wizara ya rasilimali watu na uhakikisho wa kijamii ya China Bw. Lu Aihong leo amesema, hali ya jumla ya ajira nchini China imetulia katika mwaka 2018, na kiwango cha ukosefu wa ajira cha China kimefikia asilimia 3.8, ambacho ni cha chini zaidi katika miaka ya hivi karibuni.

    Takwimu zinaonyesha kuwa, katika mwaka 2018 ongezeko la ajira katika maeneo ya mijini kote nchini limefikia watu milioni 13.61, kiasi ambacho kimeongezeka kwa watu laki moja kuliko mwaka jana wakati kama huo.

    Bw. Lu Aihong amesema, China itaratibisha kazi nyingine mbalimbali, ili kuhakikisha utulivu wa soko la ajira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako