• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TENISI: michuano ya wazi ya tenisi: Naomi Osaka atinga fainali

    (GMT+08:00) 2019-01-25 09:21:04

    Mapema jana mcheza tenisi Naomi Osaka amefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya wazi ya Australia ikiwa ni fainali yake ya pili mfululizo ya Grand Slam.

    Naomi ametinga hatua hiyo kwa kumfunga Karolina Pliskova kwa saeti 6-2, 4-6 na 6-4 katika mchezo wa nusu fainali. Fainali ya mashindano hayo itapigwa kesho jumamosi huku Naomi atakutana na Petra Kvitova kutoka Jamhuri ya Czech ambaye amefika hatua hiyo kwa kumfunga mmarekani Danielle Collins kwa seti 7-6, 6-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako