• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kombe la Bara Asia, Japan na Iran zatinga nusu fainali

    (GMT+08:00) 2019-01-25 09:23:47

    Michuano ya komba la bara la Asia inaendelea ikiwa ni hatua ya robo fainali, ambapo timu mbili ya Japan na Iran tayari zimeshajihakikishia kuingia nusu fainali.

    Japan imefanikiwa kuingia nusu fainali hiyo baada ya kuitoa Vietnam kwa bao 1-0 katika mchezo wa robo fainali. Huku Iran ikiipiga China kwa magoli 3-0 katika mchezo wa robo fainali. Timu hizo zinasubi mshindi kati ya Korea Kusini itakayokutana na Qatar nayo U.A.E itakutana na Australia. Japan na Iran zitakutana katika nusu fainali ya kwanza itakayochezwa Jumatatu ijayo Januari 28.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako