• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda na Misri zasaini makubaliano ya kupambana na malaria vijijini

    (GMT+08:00) 2019-01-25 14:10:32

    Uganda na Misri zimesaini makubaliano yanayolenga kusaidia watu wa Uganda wapatao milioni 15 kupambana na ugonjwa wa malaria. Kwa mujibu wa makubaliano hayo, nchi hizo mbili zitaanzisha kitengo cha kutengeneza dawa za kuua vimelea vya mbu wanaosambaza malaria. Waziri wa afya wa Uganda Ruth Aceng amesema dawa hiyo na bidhaa nyingine za afya zitasaidia kuongeza uwezo wa serikali kufikia sehemu nyingi zaidi za nchi na pia kupunguza gharama za kuagiza bidhaa hizo kutoka nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako