• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Qatar na Somalia kuimarisha ushirikiano wa kijeshi

    (GMT+08:00) 2019-01-25 14:11:00

    Naibu waziri mkuu wa Qatar anayeshughulikia masuala ya ulinzi Khalid al-Attiya amekutana na waziri wa ulinzi wa Somalia Hassan Al Mohamed mjini Doha na kujadili njia za kuongeza uhusiano wa pande mbili katika mambo ya kijeshi. Pande hizo mbili zimejadili njia za kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na ulinzi. Wizara ya ulinzi ya Qatar imetangaza kuwa Januari, 17, Somalia ilipokea magari 68 ya kijeshi ya kisasa yaliyotolewa na jeshi la Qatar.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako