• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu milioni 61 waathiriwa na hali mbaya ya hewa mwaka jana

    (GMT+08:00) 2019-01-25 14:13:03

    Ofisi ya Kupunguza Hatari za Maafa ya Umoja wa Mataifa UNISDR imesema mwaka jana matetemeko ya ardhi na tsunami yalisababisha vifo vya watu 10,373 huku hali mbaya ya hewa ikiwaathiri watu milioni 61.7. Imesema hakuna eneo hata moja lililoweza kujiepusha na athari za hali mbaya ya hewa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako