• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asisitiza kusukuma mbele maendeleo ya muungano wa vyombo vya habari

    (GMT+08:00) 2019-01-25 19:04:35

    Rais Xi Jinping wa China leo kwenye mafunzo ya pamoja ya ofisi ya siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China amesisitiza umuhimu wa muungano wa vyombo vya habari kwa kutimiza malengo ya chama na taifa.

    Rais Xi amesema, kusukuma mbele mungano wa vyombo vya habari na kujenga vyombo vya habari vyenye uwezo mbalimbali ni kazi ya haraka kwa sasa. Amesema China inapaswa kuhimiza mungano wa vyombo vya habari kwa kina kwa kutumia maendeleo ya teknolojia ya habari, na kujenga vyombo vikuu venye nguvu vya habari, ili kuimarisha msingi wa mawazo ya wananchi wote wa kufanya bidii kwa mshikamano, na kutoa uungaji mkono wa kimawazo kwa ajili ya kutimiza malengo ya kustawisha taifa la China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako