• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaimarisha usimamizi kwa mashirika ya kuwahudumia watoto

    (GMT+08:00) 2019-01-25 19:18:37

    China imetekeleza "hatua za usimamizi kwa mashirika ya kuwahudumia watoto" kuanzia Januari Mosi mwaka huu.

    Mkurugenzi wa idara ya mambo ya kijamii ya wizara ya mambo ya umma ya China Bw. Wang Jinhua leo amesema, hatua hizo zimethibitisha watoto wanaoweza kutunzwa na mashirika ya kuwahudumia watoto, na kuhakikisha mashirika hayo yanafuata kanuni husika kujenga utaratibu wa usalama, vyakula, kukabiliana na hali ya dharura na teknolojia.

    Takwimu zinaonyesha kuwa, kwa sasa China ina mashirika 1,217 ya kuwahudumia watoto na watoto yatima laki 3.43, watoto elfu 68 kati yao wanakaa katika mashirika ya kuwahudumia watoto, kiasi ambacho hakijafikia asilimia 20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako