• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WFP yasema uzoefu wa China kwenye kuondoa njaa unastahili kuenezwa

    (GMT+08:00) 2019-01-26 16:24:16

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa Bw. David Beasley, hivi karibu karibuni huko Davos alisema China imepata mafanikio makubwa kwenye kuondoa njaa, na uzoefu wake unastahili kuigwa na kuenezwa duniani.

    Bw. David Beasley pia amesema pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" la China lina maana muhimu katika kuondoa umaskini na njaa duniani. Amesema ukosefu wa ujenzi wa miundo mbinu barani Afrika, umesababisha asilimia 40 ya mapato ya kilimo yanatumika kwenye usafirishaji, na pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja" litawasaidia wakulima kuondokana na umaskini, kupitia kuboresha miundo mbinu na kupunguza gharama a usafirishaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako