• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa mwaka wa Baraza la Uchumi la Davos la Dunia wafungwa

    (GMT+08:00) 2019-01-26 16:25:02

    Mkutano wa Mwaka wa 20 wa Baraza la Uchumi la Davos la Dunia ulifungwa jana. Kwenye hafla ya kufungwa kwa mkutano huo, mkurugenzi wa Baraza la Uchumi wa Dunia Bw. Borge Brende amesema mkutano wa mwaka huu umefikia mafanikio makubwa na kutoa mapendekezo mengi ya kimataifa katika maeneo mengi na kutoa ahadi ya kuboresha hali ya dunia,

    Ajenda ya mkutano wa mwaka huu wa Davos ni Utandawazi 4.0: Kujenga Mfumo wa Kimataifa wa Viwanda ya Mapinduzi, ili kutafiti mifano mpya ya maendeleo yenye amani, umoja, na endelevu. Wajuimbe 3,000 kutoka duniani kote walihudhuria mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako