• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atuma salamu za pole kwa Rais wa Brazil kufuatia ajali ya bwawa

    (GMT+08:00) 2019-01-26 20:18:17

    Rais Xi Jinping wa China amemtumia salamu za rambirambi mwenzake wa Brazil Jair Bolsonaro, kufuatia ajali ya kubomoka kwa bwana iliyosababisha vifo vya watu. Kwenye salamu zake Rais Xi amesema ameshtushwa na ajali hiyo ambayo pia imesababisha hasara kubwa ya mali.

    Kwa niaba ya serikali ya CHIna na wananchi wake, Rais Xi ametoa salamu za pole kwa wahanga na familia za wale wasiojulikana walipo. Pia amewatakia waliojeruhiwa wapone haraka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako