• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ubalozi wa China nchini Kenya wafanya tafrija ya sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China

    (GMT+08:00) 2019-01-27 16:22:36

    Ubalozi wa China nchini Kenya umefanya tafrija ya sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China, na wachina wanaoishi Kenya, wawakilishi wa kampuni za China na walimu na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Confucius wamehudhuria tafrija hiyo.

    Kaimu balozi wa China nchini Kenya Bw. Li Xuhang amesema kuwa ushirikiano kati ya China na Kenya umekuwa mfano mzuri wa ushirikiano wa kirafiki kati ya China na nchi za Afrika. Ameongeza kuwa mwaka 2019 Jamhuri ya Watu wa China inatimiza miaka 90 tangu kuanzishwa kwake, na uhusiano kati ya China na Kenya utapata maendeleo mapya.

    Aidha Bw. Li ameeleza kuwa ubalozi wa China nchini Kenya utaongeza uwezo na kiwango cha kuwahudumia, na kulinda haki halali za wachina wanaoishi Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako