• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Misri kutengeneza kituo maalum kwa ajili ya kumpa heshima Mo Salah

    (GMT+08:00) 2019-01-28 08:26:58
    Taarifa kutoka Misri zinadai kuwa serikali ya nchi hiyo ipo kwenye mchakato wa kutengeneza sehemu maalum kwa ajili ya kumbukumbu ya Mohamed Salah.

    Serikali inatarajia kuanzisha kituo kitakachokwenda kwa jina la Mo Salah Sports Centre ambacho kitakuwa karibu na eneo la Gezira Youth Centre mjini Cairo.

    Waziri wa michezo nchini huko Ashraf Sobhy amesema mpango huo unaratibiwa ili kumpa heshima mchezaji huyo kwa jinsi anavyoipeperusha vizuri bendera ya nchi hiyo kimataifa

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako