• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kombe la FA: Baada ya ushindi wa Man U, wapenzi mbalimbali wa timu hiyo wapongeza

    (GMT+08:00) 2019-01-28 08:27:48
    usiku wa januari 25 klabu ya Arsenal ilikuwa mwenyeji wa Manchester United uwanja wa Old Trafford kucheza mchezo wao wa kombe la FA, Man U waliingia uwanja huo wakiwa na kocha wao wa mpito Ole Gunnar Solskjae wameibuka na ushindi wa mabao 3-1.

    kufuatia ushindi huo, wadau mbalimbali walishindwa kuzuia mahaba yao, mchezaji wa ngumi kutoka Ireland Conor Anthony McGregory amemsifia kocha wa sasa wa Manchester United raia wa Norway, Ole Gunnar Solskjaer baada ya ushindi wa ugenini dhidi ya Arsenal mchezo uliochezwa wikiendi hii.

    tangu Ole Gunnar akabidhiwe klabu ya Man U na kucheza mechi 8 hadi sasa amefanikiwa kushinda mechi zote huku wakifunga zaidi ya magoli 20.

    Mechi zingine zilizochezwa mwishoni mwa wiki, ni Chelsea imeifumua Sheffield Wednesday goli 3-0, nayo Crystal Palace imeibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako