• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Real Madrid na Barcelona zaipiku Manchester United kwenye nafasi ya kwanza ya vilabu tajiri zaidi duniani

    (GMT+08:00) 2019-01-28 08:28:17
    Real Madrid imetajwa kuwa klabu tajiri zaidi duniani kwa mujibu wa kampuni ya uhasibu ya Deloitte. Kabu hiyo ya Uhispania inathamani ya pauni milioni 674.6

    Man U imeshuka hadi nafasi ya tatu baada ya Barcelona ambayo ni klabu nyingine kutoka Uhispania kuchukua nafasi ya pili. Kulikuwa na jumla ya vilabu sita vya ligi ya Uingereza vilivyojumuishwa katika orodha ya vilabu kumi tajiri zaidi duniani.

    Orodha ya vilabu tajiri zaidi duniani ambayo huchapishwa kila mwaka na kampuni ya Deloitte huangazia thamani ya vilabu bila kujumuisha madeni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako