• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Michuano ya SportPesa 2019 yafika tamati jana, Kariobangi yatwaa ubingwa

  (GMT+08:00) 2019-01-28 08:29:02

  Mashindano ya SportPesa mwaka huu yamefikia tamati jana Jumapili kwa fainali ya timu za Kenya Bandari fc na Kariobangi Sharks. Kikosi cha Kariobangi kimetwaa ubingwa baada ya kuwafunga ndugu zao Bandari kwa goli 1-0 mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Tanzania.

  kabla ya mechi hiyo, Simba SC ilikabiliana na Mbao fc zote za Tanzania kutafuta mshindi wa tatu. matokeo ni Simba imenyakua nafasi ya 3 baada ya kuwafunga Mbao fc kwa taabu baada ya kwenda sare ya bila kufungana na kulazimisha kupigiana matuta, ambapo Simba ilishinda kwa matuta 5-3.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako