• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ajali ya kuporomoka kwa mgodi wa madini yasababisha vifo vya watu 58 na wengine 305 hawajulikani walipo

    (GMT+08:00) 2019-01-28 10:16:20

    Ajali ya kuporomoka kwa bwana la mgodi wa madini iliyotokea katika jimbo la Minas Gerais, kusini mashariki mwa Brazil, imesababisha vifo vya watu 58, na wengine 305 bado hawajajulikana walipo.

    Habari kutoka idara ya zimamoto ya Brazil imesema watu 19 kati ya 58 waliofariki wametambuliwa, na wengine wasiojulikana walipo ni wakazi wa eneo lililohariwa na wafanyakazi kutoka kampuni ya uchimbaji madini ya Brazil, Vale.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako