• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 15 wafariki dunia na wengine 30 wajeruhiwa baada ya hoteli kuporomoka Peru

    (GMT+08:00) 2019-01-28 10:29:54

    Watu wasiopungua 15 wamefariki dunia na wengine 30 wamejeruhiwa baada ya ukuta na paa la hoteli moja kuporomoka mjini Abancay, kusini mwa Peru. Tukio hilo lilitokea wakati harusi inafanyika ndani. Habari zinasema mvua kubwa ni chanzo cha ajali hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako