• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kundi la Fatah la Bw. Abbas lapendekeza kuanzishwa kwa serikali mpya ya umoja wa kitaifa ya Palestina

    (GMT+08:00) 2019-01-28 10:30:16

    Kamati kuu ya kundi la Fatah linaloongozwa na rais Mahmoud Abbas wa Palestina imependekeza kuanzishwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa mapema iwezekanavyo. Kamati hiyo imesema serikali mpya ya umoja inapaswa kuwashirikisha wanasiasa, wanachama wa Chama cha Ukombozi cha Wapalestina na watu wasio wanachama wa vyama vya kisiasa ili kuchukua nafasi ya serikali ya maafikiano ya sasa inayoongozwa na waziri mkuu Rami Hamdallah.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako