• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ubalozi wa China nchini Lebanon washerehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China na walinzi amani wa UM

    (GMT+08:00) 2019-01-28 10:30:39

    Ubalozi wa China nchini Lebanon umesherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China itakayokuja wiki ijayo na walinzi amani wa China kwenye Jeshi la Mpito la Umoja wa Mataifa nchini humo UNIFIL. Watu zaidi ya 200 akiwemo balozi Wang Kejian na mkuu wa UNIFIL Stefano Del Col na maofisa wa kisiasa na kijeshi wa Lebanon wameshiriki katika sherehe hizo. Balozi Wang amesisitiza nafasi muhimu inayotolewa na UNIFIL katika kudumisha amani ya eneo la kusini mwa Lebanon ,huku Bw. Del Col akisema wanajeshi wa China ni sehemu muhimu ya UNIFIL tangu mwaka 2006.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako