• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisa mwandamizi wa kundi la al-Shabab auawa nchini Somalia

    (GMT+08:00) 2019-01-28 14:21:14

    Gavana wa mji wa Jalalaqsi nchini Somalia Bw. Mohamad Nur Caga Jof amesema jeshi la Taifa la Somalia (SNA) limemwua ofisa mwandamizi wa kukusanya kodi wa kundi la al-Shabaab kwenye operesheni yake katika mji wa Jalalaqsi.

    Askari wa jeshi la Somalia na wa tume ya Umoja wa Afrika nchini Somalia wameimarisha mapambano dhidi ya wapiganaji wa Al-Shabab katikati na kusini mwa Somalia, na kufanya operesheni za mfululizo ili kuwatimua wapiganaji wa kundi hilo lenye uhusiano na kundi la al-Qaida katika mkoa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako