• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatilia maanani maendeleo ya sekta ya utalii

    (GMT+08:00) 2019-01-28 18:11:14

    Serikali ya China imetangaza hatua muhimu za kuboresha huduma za utalii ili kuhimiza maendeleo ya kiwango cha juu ya sekta hiyo.

    Mwongozo uliotolewa na Wizara ya utamaduni na utalii unaorodhesha maeneo saba ya kipaumbele ili kukabiliana na changamoto zinazoathiri utalii, ikiwa ni pamoja na vivutio vya utalii, malazi, mashirika halisi ya utalii na mashirika ya utalii kwenye mtandao wa Internet, waongozaji wa utalii na usimamizi wa utalii.

    Mwongozo huo pia umezitaka idara za serikali ziimarishe usimamizi, kuwataka wadau wa soko watimize wajibu wako, kuyataka mashirikisho yaoneshe umuhimu zaidi wa uratibu na kutunga vigezo vya sekta, na kuwataka wafanyakazi wa sekta hiyo waboreshe ujuzi wao wa kitaaluma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako