• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Afghanistan lawaachia huru watu 38 kutoka gereza la kundi la Taliban

    (GMT+08:00) 2019-01-28 19:23:22

    Jeshi la Afghanistan limefanya operesheni na kuwaachia watu 38 kutoka gereza la kundi la Taliban mkoani Ghazni, mashariki mwa nchi hiyo.

    Wizara ya ulinzi ya nchi hiyo imesema, jeshi hilo limefanya operesheni maalumu na kuwaachia wanakijiji 38 kutoka gereza la kundi la Taliban katika kijiji cha Ghat Kali kilichoko Ab Band, mkoani Ghazni.

    Wizara hiyo pia imesema, wapiganaji tisa wa kundi la Taliban wameuawa katika operesheni hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako