• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KENYA Wakulima Wa Vizazi Tamu Waanaglia Soko La Ulaya.

    (GMT+08:00) 2019-01-28 20:50:26

    Wakulima zaidi wanageuka kilimo cha viazi vitamu baada ya mahitaji makubwa katika soko la Ulaya.

    Kaunti Migori, inashirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) kujenga kiwanda cha viazi vitamu chenye thamani ya Sh Bilioni 4 katika kijiji cha Getonganya katika jimbo la Kuria West.

    Ripoti inaonyesha kuwa uzalishaji wa viazi vitamu katika soko la Ulaya inaweza kupungua kwa asilimia 2.5 msimu huu.

    Hii imesababisha viongozi wa Kenya kuhamisha wakulima ili kuongeza uzalishaji wao.

    Kiwanda kipya cha viazi kinatarajiwa kupiga jeki uchumi wa eneo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako