• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini Imeanza Uzalisha Wa Mafuta

    (GMT+08:00) 2019-01-28 20:50:46

    Mafuta imeanza kuvutwa tena Sudan Kusini, miaka mitano baada ya uzalishaji kusimamishwa kwa sababu ya mapigano kati ya askari wa serikali na waasi.

    Awow Daniel Chuang, mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Petroli, ambayo ni sehemu ya Wizara ya Petroli ya Kusini mwa Sudan, amesema uzalishaji ulianza tena katika maeneo ya jimbo mwishoni mwa 2018, baada ya wafanyakazi kutengeneza uwanja wa kadhaa za mafuta ambazo zilioharibiwa wakati wa mapigano.

    Aidha amesema uzalishaji bado umefikia karibu mapipa 20,000 ya mafuta kwa siku.

    Mauzo ya nje ya mafuta yalitarajiwa kuleta mapato zaidi ya kigeni nchini Sudan Kusini, Lakini vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilipomalizika mwishoni mwa mwaka 2013 vilifanya uzalishaji wa mafuta kusimama.

    Chuang amesema wakati kiwanda kipya cha umeme kitafunguliwa Juba, itawawezesha serikali kuongeza uzalishaji wa mafuta hadi mapipa 60,000 kwa siku ifikapo mwishoni wa mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako