• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TANZANIA Wawekezaji Wakubwa Austria Watua Nchini:

    (GMT+08:00) 2019-01-28 20:51:02

    Ujumbe wa kampuni kubwa 16 za uwekezaji kutoka Austria unatarjiwa kufanya ziara ya kikazi kwa siku mbili nchini Tanzania.

    Lengo lao kuu nikuangalia nafasi za uwekezaji katika sekta mbalimbali ikiwemo Afya, mawasiliani ya simu, umeme wa kutumia maji, na usafirishaji.

    Ujumbe utashiriki kwenye kwenye kongamano la biashara , lililoandaliwa kwa ushirikiano kati ya Chama cha Wafanyibiashara, Wakulima Wenyeviwanda, Tanzania na, Ubalonzi wa Austria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako