• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KENYA Jukwaa La Hitajika Kwa Wawekezaji Wa Ndani Pekee

    (GMT+08:00) 2019-01-28 20:51:17

    Gari na kampuni ya vifaa vya kukodisha wanataka Soko la hisa Nairobi kufungua jukwaa la wafanyabiashara wa ndani.

    Mkurugenzi wa mawasiliano wa VAELL Jared Oluoch amesema mpango huo utasaidia kukua kwa Uchumi na kuimarisha makampuni ya ndani.

    Hivi sasa, asilimia 29 pekee ya makampuni 63 yaliyoorodheshwa kwenye NSE mwezi Septemba 30 nyingi zinamilikiwa na wawekezaji wa kigeni.

    Wakazi, ambao ni pamoja na wawekezaji kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, wanadhibiti asilimia 71 ya makampuni yaliyoorodheshwa.

    Kampuni ya kukodisha magari ilitangaza mipango yake mwezi Desemba kuorodhesha hisa zake katika NSE kwa njia ya kutoa mchango kwa umma mwezi Februari 2019.

    Kampuni inatarajia kuongeza dola milioni 10.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako