• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi Wa Kidini Nchini Tanzania Kusukuma Kupigwa Marufuku Kwa Mchezo Wa Bahati Na Sibu

    (GMT+08:00) 2019-01-28 20:51:31

    Rais Magufuli amemwambia Waziri Mkuu kushughulikia kupigwa marufuku kwa mchezo wa bahati na sibu na kuchukua hatua zifuatazo.

    Hii ni baada ya Viongozi wa kidini nchini Tanzania kusukuma kupigwa marufuku kwa mchezo huo, wakisema kuwa mazoea yanadhuru uchumi.

    Licha kuandikisha ukuaji mkubwa katika makusanyo ya kodi kutoka kwa michezo ya bahati na sibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako