• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Klabu Bingwa Afrika: Simba kuondoka leo jioni kuifuata Al Ahly

    (GMT+08:00) 2019-01-29 07:51:06
    klabu ya Simba ya Tanzania inatarajia kuondoka leo jioni kuelekea Alexandria Misri kwa ajili ya mechi yake ya kundi D hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika mchezo utakaochezwa Jumamosi dhidi ya Al Ahly ya Misri.

    Simba itaondoka na wachezaji 20, benchi la ufundi na viongozi kadhaa. Nao JS Sauora ya Algeria watakutana na AS Vita ya DRC katika mchezo wa kundi hilo. hadi sasa Al Ahly ndio wanaongoza kundi wakifuatiwa na AS Vita, Simba inashika nafasi ya tatu huku JS Sauora ikishika mkia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako