• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Droo ya kombe la FA-Man U uso kwa uso na Chelsea

    (GMT+08:00) 2019-01-29 07:51:40
    Droo ya kombe la FA katika hatua ya 5 tayari imeshapangwa ambapo mechi zake zitaanza kushika kasi kuanzia tarehe 15-18 mwezi ujao.

    Ratiba ya mechi hizo ni

    Bristol City watakutana na v Shrewsbury Town au Wolver Hampton Wanderers.

    AFC Wimbledon wao watamenyana na Millwall huku Doncaster Rovers watavaana na Crystal Palace.

    wakati Middlesbrough au Newport County wataumana na Manchester City

    Chelsea wao watakutana na Manchester United nao Swansea watavaana kati ya na Barnet au Brentford huku Portsmouth au Queens Park Rangers watakutana na Watford na Brighton & Hove Albion au West Bromwich Albion au Derby County.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako