• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: KOMBE LA ASIA 2019-Japan yatinga nusu fainali

    (GMT+08:00) 2019-01-29 07:51:58
    Michuano ya kombe la Asia imeingia katika hatua ya nusu fainali ambapo Japan imekuwa timu ya kwanza kuingia nusu fainali hizo kwa kuifunga Iran mabao 3-0 kwenye mchezo uliochezwa jana.

    Nusu fainali nyingine inachezwa leo kati ya Qatar na Umoja wa Falme za Kiarabu. Qatar imeongia nusu fainali baada ya kuwatoa Korea Kusini kwa goli 1-0 huku Falme za Kiarabu ikiitoa Australia kwa goli 1-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako