• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: CAF yasogeza mbele mashindano ya AFCON 2019

  (GMT+08:00) 2019-01-29 07:52:40

  Shirikisho la soka Afrika (CAF) limesogeza mbele kwa wiki moja kuanza mashindano ya mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka huu kutoka Juni 14 hadi 21 kupisha mfungo wa mwezi wa Ramadhani pamoja na sikukuu ya Eid El Fitr.

  makamu wa rais wa shirikisho la soka Misri (EFA) Ahmed Shobir ametangaza kuwa CAF imefikia uamuzi huo baada ya kupata maombi kutoka nchi mbalimbali.

  Misri wamechukua uenyeji wa mashindo hayo baada ya Morocco kujitoa dakika za mwisho.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako