• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na mjumbe wa rais wa Sudan

    (GMT+08:00) 2019-01-29 10:26:25
    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amekutana na mjumbe wa rais wa Sudan Bw. Faysal Hassan Ibrahim Ali mjini Beijing.

    Bw. Faysal ameeleza hali ya kisasa ya Sudan ambayo imedhibitiwa kikamilifu, na maisha ya watu yamerudi katika hali ya kawaida. Pia Bw. Faysal ameishukuru China kwa kusaidia kudumisha amani na utulivu nchini humo na kuendeleza uchumi wao.

    Bw. Wang amesema China itaendelea kuiunga mkono Sudan kujiendeleza kwa njia inayofaa, kudumisha utulivu wa jamii na kupinga nguvu za nje kuingia mambo ya ndani ya Sudan. Pia amesema China itaendelea kutoa misaada kwa Sudan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako