• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Sudan atangaza kusimamisha vita katika jimbo la Kordofan Kusini

    (GMT+08:00) 2019-01-29 10:26:46

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan ametangaza kusimamisha vita katika eneo la Kordofan Kusini lililokumbwa na mapambano tangu mwaka 2011.

    Rais al-Bashir amesema kusimamisha vita kunalenga kusukuma mbele amani na makubaliano ya taifa. Amesisitiza kuwa lengo kuu la serikali ni kudumisha amani katika eneo hilo. Pia amesema serikali ya Sudan iko tayari kufikia amani nchini humo na kuhimiza kundi la SPLM kushiriki kwenye mazungumzo ili kupata maendeleo endelevu katika eneo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako