• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Israel kulifukuza jeshi la waangalizi wa kimataifa katika mji wa Ukingo wa Magharibi

    (GMT+08:00) 2019-01-29 14:01:53

    Israel imetangaza kuwa haitaongeza muda wa Uwepo wa Kimataifa wa Muda huko Hebron TIPJ, tume moja ya waangalizi wa kiraia katika mji huo wa Ukingo wa Magharibi. Hii inamaanisha kuwa kundi hilo linaloundwa na watu wengi wa Ulaya ambalo limekuwepo kama jeshi la kulinda amani kwa miaka 15, linaweza kufukuzwa mjini humo. Waziri mkuu Benjamin Netanyahu amesema hataruhusu kuendelea kuwepo kwa jeshi la kimataifa linalopambana nao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako