• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gari lililotegwa mabomu lalipuka katika kituo cha kujazia mafuta nchini Somalia

    (GMT+08:00) 2019-01-29 18:32:06

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya gari lililotegwa bomu kulipuka katika kituo cha mafuta karibu na makao makuu ya ofisi za kanda ya Banadir, mjini Mogadishu, Somalia, mapema leo.

    Polisi wamesema, mlipuko huo umetokea wakati maofisa wa usalama walipokagua gari hilo, na kwamba huenda kuna polisi waliopoteza maisha.

    Hakuna kundi lililokiri kuhusika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako