• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia : Volkswagen kuanza kuzalisha magari Ethiopia

    (GMT+08:00) 2019-01-29 19:42:07

    Kampuni ya kutengeneza magari ya Ujerumani Volkswagen imetangaza mipango yake ya kuanza kuzalisha magari nchini Ethiopia.

    Tangazo hilo limetolewa wakati wa ziara ya rais wa Ujerumani nchini Ethiopia.

    Volkswagen imesema itajenga kituo cha uuunganishaji magari na utoaji wa mafunzo.

    Kulingana na repoti ya Deloitte watu wengi wa Ethiopia hawamiliki magari huku kati ya watu 1000 kukiwa na 2 tu walio na gari.

    Uagizaji wa magari nchini humo ni ghali sana na ushuru unafikia asilimia 200.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako