• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Bei ya mchele yapungua Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-01-29 19:42:22

    Wakulima wa mpunga nchini Rwanda wanalalamikia hatua ya serikali ya kupunguza bei ya bidhaa hiyo.

    Wizara ya viwanda na biashara imetangaza kuwa wakulima sasa watauza mchele kwa franc 270 badala ya 290 za awali.

    Rais wa chama cha wapanzi wa mpunga nchini humo Apollinaire Gahiza, amesema kwa jumla wakulima watapata upungufu wa faida wa asilimia 5.

    Hata hivyo mkurungezi wa biashara ya ndani ya nchi kutoka kwa wizara ya biashara Cassien Karangwa, amsema upunguzaji huo wa bei umetokana na malalamiko ya viwanda vya usindikaji kwamba kwa sasa wana mchele mwingi kwenye mabohari yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako