• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Aliyeweka rekodi ya kufunga mabao AFCON afariki.

    (GMT+08:00) 2019-01-30 08:11:13
    Mfungaji kinara wa mabao 9 ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika Pierre Ndaye Mulamba wa DRC amefariki mjini Cape Town Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 70.

    Taarifa iliyotolewa na wazrir wa michezo nchini DRC Papy Niango ameeleza kuwa, Mulamba aliichezea Zaire ambayo sasa ni DRC katika fainali za AFCON za mwaka 1974 nchini Misri ambayo Zaire ilitwaa ubingwa huo baada ya kushinda mechi ya marudiano dhidi ya Zambia.

    Mulamba alifunga jumla ya mabao 9 katika michuano hiyo na kuwa kinara wa kupachika mabao kwenye michuano hiyo. Mulamba pia aliisaidia klabu ya AS Vita kushinda ubingwa wa Afrika mwaka 1973.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako